RATIBA YA MIKUTANO YA KIKUNDI CHA WYT KWA MWAKA 2022
Wapendwa wanakikundi wa WYT na wadau wetu!
Napenda kuwajulisha kwamba kwa mwaka huu wa 2022, Mikutano ya kikundi itafanyika tarehe zifuatazo:-
- Mkutano wa Robo ya Kwanza (Mkutano kwa njia ya Mtandao: Aprili 23, 2022
- Mkutano wa Robo ya Pili/Mkutano wa Nusu Mwaka: Julai 16, 2022
- Mkutano wa Robo ya Tatu (Mkutano kwa njia ya Mtandao: Oktoba 14, 2022
- Mkutano wa Robo ya Nne/Mkutano Mkuu: Januari 7, 2023
Kwa mdau yeyote anayependa kushiriki kwenye mikutano yenu, tafadhali wasiliana na ofisi ya katibu wa kikundi kwa utaratibu zaidi kupitia njia zifuatazo;
Namba ya Simu: 0747 599 825
Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Imetolewa na:
Ofisi ya Katibu wa Kikundi,
Walk Your Talk
